Matukio muhimu | 03.12.2008
Mkataba wa mabomu ya mtawanyiko kutiwa saini Oslo

Wawakilishi kutoka mataifa 100 kote ulimwenguni wanakutana mjini Oslo nchini Norway kwa lengo la kutia saini mkataba utakaopiga marufuku matumizi ya mabomu yote ya mtawanyiko. »Mehr zu: title"
Habari
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Condoleezza Rice yuko India kutuliza uhusiano kati ya nchi hiyo na Pakistan
NEW DELHI
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Condoleezza Rice aishinikiza Pakistan kuchukuwa hatua haraka kusaidia ...
»Mehr zu: title"More news
Matukio ya Kisiasa | 03.12.2008
Mfalme Bhumibol
Wathai na mfalme wao na siku baada yake. »Mehr zu: title"
Matukio ya Kisiasa | 03.12.2008
Mkutano wa UM Doha
Mkutano wa miradi ya maendeleo kwa nchi changa huko Doha umemalizika. »Mehr zu: title"
Matukio ya Kisiasa | 03.12.2008
Mzozo wa Thailand, sio mwisho.

Mfalme wa Thailand kimya juu ya mzozo katika nchi yake. »Mehr zu: title"
Matukio muhimu | 03.12.2008
Hali yarejea kawaida Thailand

Waandamanaji wanaopinga serikali nchini Thailand wameondoka kwenye viwanja viwili vikuu vya ndege mjini Bangkok baada ya kuvizingira tangu wiki iliyopita »Mehr zu: title"







